Wednesday, May 15, 2013

WAANDAMANAJI WAANDAMANA NA NGURUWE HADI BUNGENI WAKIPINGA NYONGEZA YA MISHAHARA KWA WABUNGE KENYA

Mashirika ya kijamii yafanya maandamano dhidi ya mishahara ya wabunge. Baadhi ya waandamanaji wamwaga nguruwe walioandikwa “MPigs,” bungeni Kenya, wakilinganisha Wabunge (MPs) na nguruwe. Pia wamemwaga damu kama ishara ya ulafi na unyonyaji wa wabunge

No comments: