Wednesday, May 15, 2013

Wakati wa kujadili usalama wa maisha ya waandishi ikumbukwe kuna polisi

Wakati wa kujadili mikakati ya kulinda usalama na maisha ya waandishi wa habari nchini ni lazima ikumbukwe kuwa kuna polisi na wana usalama wa taifa waadilifu wanaofanya kazi kwa manufaa ya umma.

No comments: