ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 8, 2013

CHAMELEON NDANI YA KILIMANJARO ASEMA DMV KUWAKA MOTO

Mwanamuziki Chameleon toka Uganda ambae yupo DMV (shati la drafti) akiwa kwenye mgahawa wa Kilimanjaro kwa chakula cha mchana alipokua na kruu yake ambapo usiku wa leo Jumamosi atatumbuiza Rockville, Maryland..
Juu na chini ni Chameleon akiendelea kupata chakula cha mchana na kruu yake.
DMK(kushoto) katika picha ya pamoja na Chameleon mwanamuziki toka Uganda.
Mpwa katika ukodak moment na Chameleon.
Dj Sam(kushoto) na Promota Patrick wakipata msosi kwenye mgahawa wa Kilimanjaro. 
Kutoka kushoto: Dj Sam, DMK na Promota Patrick wakipata ukodak ndani ya mgahawa wa Kilimanjaro.

No comments: