Mrembo Fatma maarufu kwa jina la Brown Berry wa mitaa ya Ilala Jijini Dar es salaam ahukumiwa kunyongwa mpaka kufa baada ya kupatikana na madawa ya kulevya nchini Misri hukumu ishatolewa na anatakikana kunyongwa ijumaa hii huko huko Misri.
Maana nchi za wenzetu hawaruhusu jambo hili litokee kwa watu wao utasikia tu wanaandamana wanamtaka mtu wao akahukumiwe nchini kwao je kwanini uongozi wetu unakuwa nyuma kufuatia suala hili? Je inamaana watanzania hatuna thamani? natamani angekuja kuadhibiwa huku nyumbani maana mrembo huyu anafamilia na mtoto mdogo anaye mtegemea hata angepata fursa ya kuacha wosia kwa mwanae.
Akiwa na mtoto wake
Hapa akiwa na boyfriend wake
1 comment:
so fat women deserves to die rather than hot women think first before you talk,or write nonsense
Post a Comment