KITUO Cha Polisi Magomeni, jijini Dar es Salaam, kimeingia kwenye kashfa nzito, baada ya kudaiwa kumuachia anayedaiwa kuhusika na ubakaji wa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12 jina tunalo bila sababu za kueleweka.
Msamaria Mwema, Halima Athumani.
Msamaria mwema aliyekuwa anafuatilia suala hilo la ubakaji, aliyejitambulisha kwa jina la Halima Athuman, alidokeza juu ya suala hilo na kusema lilitokea Aprili 21, maeneo ya Magomeni Makuti, jijini Dar es Salaam. Hbari na Emmanuel shilatu blog.
No comments:
Post a Comment