Juu na chini ni M2 THE P ambaye amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea….!!
Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
2 comments:
sasa clouds fm ndo waache kuwanyanyasa wasaniii,lol..roho mbayaaa wanapata kupitia wasanii halafu wanawanyanyasaa haya sasa aibu kwao hata haya hawana..hawa watu si watu kwa kweli roho mbayaaaa
Ningependa kuchangia hoja kuhusu lawama kuelekea Clouds FM. Nadhani si busara kulaumu kitu kama hujui kiunaga ubaga. Kwenye biashara kuna mikataba, nadhani hili jambo lilitokea ni vyema kwa wasanii walichukulie kama ngao. Soma mkataba wako vyema, usisign kama kunakitu hujaelewa, kwa maana at the end wasanii ni wafanya biashara na Cloud FM ni wafanya biashara. Kwa hiyo tuangalie pande zote za shilling.
Post a Comment