ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 8, 2013

MWANAUME AFARIKI DUNIA AKIWA GEST HOUSE ILIYOKO MANZENSE

Difenda ya polisi iliyouchukua mwili wa marehemu... 
Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake leo amekutwa amekufa katika gesti bubu iitwayo Uroda iliyopo Manzese Midizini jijini Dar. 
Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwa eneo la tukio ni kwamba marehemu alikuwa na mpenzi wake ambaye waliingia wote katika gesti hiyo lakini alikutwa jamaa peke yake. 
Mwili wa marehemu umepelekwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

No comments: