Prezzo akiwa na huddah jana muda mchache baada ya lady boss kutua katika ardhi ya kenya.. ahahahahahah prezzo kajiachiajeee!!!
Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo ndani ya mtandao huo wa twirraa, dada yetu akaamua kuweka picha yake ya.....(sijaielewa sijui AVI na hii ahahahha samahani lakini) ili kupotezea soo hilo..
ahahahahah Sasa bado hatuelewi kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!!
1 comment:
MASTAA WA KIBONGO tANZANIA WAAJABU WEWE DIVA MWANAUME KAJA KIKAZI AKUKUTONGOZA UKAMPA PENZI SIUNGEENDA SLOW KUJUA HUKO ALIKOTOKA KAACHA NINI ,HAYA ONA WEWE ULOTANGAZA UTAOLEWA KWA MAMILIONI KIKWAPI SASA
UTAPIGA PICHA ZA NUSU UCHI ZIDI KUJISHUSHA HADHI ,MNA KAZI NINI MNAHANGAIKA SIMCHAMBE MA MAJI MOTO
Post a Comment