ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 6, 2013

VIVUTIO VYA JIJI LA MWANZA NDIYO VILIVYO SABABISHA KUITWA ROCK CITY PITIA PICHA ZA ALAMA ZA JIJI LA ROCK CITY

Mawe kama haya jinsi yalivyo kaa unaweza kudhania yame pangwa wakati ndiyo yalivyo tokea enzi hizo
Moja ya roundabout za mjini Mwanza hapo utaona alama ya samaki wanaopatikana katika ziwa Victoria
Nyumba na mawe vinaenda na sambamba mambo ya rock city hayo

2 comments:

Anonymous said...

Wow! sweet home. I love it

Anonymous said...

Mwanza ooh Mwanzaaaa....Mwanza mji mzuri .... Mwanza nitarudi mwanzaaaa...mwanza nitakuja tena...Vijana wa zamani toma Mwanza Rock city Mpo?? Ashazi, Kipepeo, Magnam, kabibi, Rendevous, Mkunguni aka pambaroof...aaahhhh! Later on Deluxe, capri cabana bila kusahau Liberty na Tivoli Cinema....Old is Gold..Lake na mw3anza secondary bila kusahau Mwanza Technical....what about Tilapia hotel? Jamani jamani...kweli Mwanza Rock city