Kikosi Kazi cha Skylight Band kikitoa burudani kwenye uwanja wao wa Nyumbani Thai Village Juma lililopita na kupata ugeni wa wanafunzi wa Chuo cha IFM.
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akijituma jukwaani kuhakikisha mashabiki wanapata ile kitu roho inapenda.
Twende kazi wanafunzi wa Chuo cha IFM wakisebeneka na Skylight Band.
Rappa wa Skygliht Band Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa akiwarusha mashabiki wake.
Umati wa mashabiki wa Skylight Band ukiwa umefurika kwenye steji kuburudika na band hiyo.
Vijana wa Upanga Sea View nao waliwakilisha.
Divas wa Skylight Band ...Mary Lucas na Aneth Kushaba AK47 wakikonga nyoyo za mashabiki wao.
Mdau akienjoy burudani ya Skylight Band ndani kiota cha Thai Village.
Picha juu na chini ni mwendo wa kwenda mbele na kurudui nyuma......Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara.
kwa picha zaidi bofya read more
Chezea mduara wewe kwa raha zake mwanadada akisebeneka.
Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akipewa raha na shabiki wake.
Daudi Mpiga Tumba wa Skylight Band ( wa pili kushoto), Mary Lucas pamoja na Allen Kisso (mpiga solo wa Band hiyo) wakishow love na marafiki zao mara baada ya kibarua kizito.
Warembo wa Ukweeeeh wakishow love na kula bata na Skylight Band.
Flowers wa Skylight Band.
TRUE FANS wa Skylight Band.
Wadau wa ukweli wenye mahudhurio mazuri kwenye burudani za Skylight Band nao waliwakilisha.
Sssssssssssshhhhhhhhhhh... Skylight Band ndio habari ya mujini.
No comments:
Post a Comment