Sylvester Mwingira wakati wa commencement /graduation ceremony iliyofanyika Denver Colorado USA June 15,2013.Sylvester ametunukiwa Masters of Science (Msc.)in Project Management ikiwa kama degree yake ya pili ,degree ya kwanza ilikuwa bachelor of Engineering in Telecommunication Engineering.
No comments:
Post a Comment