Advertisements

Thursday, July 18, 2013

JAY-Z AKIWA NA MTOTO WAKE BLUE IVY KIFAMILIA ZAIDI

Jay-z akiwa amembeba bint wake Blue Ivy wakiwa uko Toronto Canada, Hapa Jay-z alikuwa akitoka kupata dina yeye na mke wake Beyonce and kabint kao wanako kapenda Blue Ivy. Dina hiyo walipata katika Restaurant moja inayojulikana kwa jina la Nervosa Trattoria Italian.
Blue Ivy akiwa ametulia mikonono mwa baba yake na mama pembeni kifamilia zaidi
Jay-z mwenye umri wa miaka 43 nitajiri anaejivunia mafanikio yake kimuzic na biashara zingine zinazo mwinginzia pesa za kutosha wakiwa na mke wake Beyonce.

2 comments:

Anonymous said...

Seriously you guys. How the hell is this news?

Anonymous said...

na nyinyi sasa naona mnaelekea kubaya. Just how is this news?