Advertisements

Thursday, July 18, 2013

SGT WA JESHI UKO FIJI ALIAMUA KUKAA CHINI KABISA KAMA HESHIMA KWA QUEEN.

Hii siyo adhabu ni heshima kwa Queen Sgt wa jeshi la Fiji alivyoamuakukaa chini kabisa kama heshima, Hii ilitokea uko Fiji Queen wa kikoloni alivyo tembelea kisiwa hicho cha Fiji.
Unusual: He stands after the Queen passes him. The monarch was not fazed as she knew that it was an act of respect
Sgt akijizoa zoa baada ya kumaliza kutoa heshima hiyo ya kukaa chini  kwa na kuvua kofia kabisa.







4 comments:

Anonymous said...

watu weusi bwana kila siku wanajipendekeza kwa wazungu na wazungu wanawazarau tuu so akika chini ndo nini angalia body language ya queen kwani hata anamjali ndo maana jamaa akaamua ainuke na ushamba wake wa mtu mweusi

Anonymous said...

This is a self-inflicted type of slavery.

Anonymous said...

It so unfortunate the Queen did not even give a damn about him.

Anonymous said...

hahahahaahahahahahah Makubwaaa haya jamani. Kweeli weusi tutanyenyekea wazungu mpaka tufeee. khaaa why amekaaa chini? what for?