Advertisements

Thursday, July 18, 2013

RODGERS EXPORTS,LLC.

Inawatangazia watu wote, kwa wale wanaopendelea kusafirisha mizigo 
kwa njia ya contena kutoka UAS kwenda Dar-Es-Salaam na Zanzibar Tanzania,usafiri utakuwepo August-20 (E.T.A October-28) vile vile
tutakua na contena jengine September-23 (E.T.A. November-30),
ndugu mtanzania na marafiki Rodgers Exports,LLC. ipo kwa kutowa huduma bora, unafu wa bei, na usalama wa mizigo yako, kutoka
USA kwenda Tanzania,ukusanyaji wa mizigo katika maeneo ya D.M.V
Up North, South, Mid-West, utaanza August-10 wasiliana na HAJI
(919-672-6063) au Fesal Mwana nje nje (919-618-6644) kwa
wale ambao wanaish mbali na sisi, na watapendelea kutuma mizigo
yao mapema,katika (WAREHOUSE YETU ILIOPO,NC.) wanaweza kutumia huduma yetu ya FedEx Ground, ambayo ipo wazi kwa 
watu wote,unachotakiwa kufanya chukua mzigo wako upeleke
katika ofisi yoyote ya FedEx iliopo karibu na wewe,na mzigo
utatufikia sisi hapa (NC) bila ya tatizo lolote, ndugu mtanzania
na marafiki tumia Rodgers Exports,LLC FedEx Acc# Bure ipo kwa
ajili yako,kwa maelezo zaidi wasiliana na HAJI kwa huduma
ya FedEx, 
Our first priority is the safety of your goods here in the U.S.A and Tanzania.
For more information feel free to visit our websiteWWW.RODGERSEXPORTS.COM or write me at my email address RodgersExports@gmail.com

No comments: