Wednesday, July 17, 2013

Kijana mmoja amekamatwa akitoa huduma za tiba ktk zahanati bubu.

Kijana mmoja amekutwa akitoa huduma za tiba zinazotolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika zahanati bubu maarufu kwa jina la kwa Docta Kondoliza eneo la Mji mpya Majohe kinyume na sheria .

No comments: