Kutoka kushoto ni Mery Mgawe, Hadija Riyam, Shilole, Sunday Shomari, Dr. Hamza Mwamoyo, Ilham Dirran, Masanja na Raymond Maro katika picha ya pamoja wakati wasanii Shilole n Masanja walipotembelea studio za Voice Of America Idhaa ya Kiswahili Jijini Washington.
Msanii Shilole akifanyiwa mahojiano ya Luninga na mtangazaji wa VOA, Sunday Shomari
Msanii Masanja Mkandamizaji akifanyiwa mahojiano ya Luninga na mtangazaji Sunday Shomari.
Wasanii Shilole na Masanja wakifanyiwa mahojiano ya Radio na mtangazaji wa VOA idhaa ya Kiswahili, Sunday Shomari.
Wasanii Masanja na Shilole wakipata picha nje ya mjengo wa Voice Of America.
Msanii Masanja akipata picha nje ya jengo jeupe (white House), Ikulu ya ya Rais wa Marekani
Msanii Shilole akipata picha nje ya jengo jeupe alipokwenda yeye na Masanja kutembele mjengo huo.
Shilole na Masanja wakiwa nje ya jengo jeupe
Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na Mdau Liberatus Mwang'ombe kulia ni watoto waliokua wakipata nao picha za kumbukumbu kutoka kwa wazazi wao (hawapo pichani)
Masanja akiwa katikati ya mktaa wa Pennsylvania, mtaa ulipo jengo jeupe.
Wasanii Masanja na Shilole wakikatiza kitaa cha Pennsylvania
kwa picha zaidi bofya raed more
12 comments:
kweli waswahili wanasema kuchamba kwingi----yaani shilole pamoja na masanja wamekosa kabisa nguo ya maana ya kuvaa yaani wanaonekana kituko hovyo sijui ni mshtuko wa kuja America bila kutegemea mara masanja avae tishet yenye kutanga kenya badala ya tanzania wanaonekanaga wajanja kumbe hamna kitu hawajui kupangilia mavazi
Asante sana mtoa mada. Ukweli unabaki palspale. Vituko. Bora hata ya binti Shiloke anaweza kuingia kwenye mstari. Ni vizuri unapokuwa mwenyeji kumwalika mtu umweleze umuhimu wa kuwa kwenye mavazi ya kuridhisha kwani utakutana na watu mbali mbali na hasa ukitegemsa lazima utachukua picha za kumbukumbu. Mavazi yako ya mtaani bado uko huru kuyavaa kwa wakati wake. Mbona wenyeji wameonekana kwenye mvao madhubuti? Kwa msingi huu mnatarajia kuaa kwenye picha ya pamoja na mzee Ruksa Mh. mstaafu Rais Alli Hassan kwenye hali hiyooo! Muhimu kwends shopping. Karibuni.
duh! huyu Shilole naona anawashikisha pochi wanaume wazima hatariiii kwei kwei.
yaleyale kuhusu mavazi,wabongo tuhamke hasa wewe uliye comment hapo juu,sioni ubaya wowote ,, mlitaka muone wameva pamba mwalumwalu ndiyo mjue kuwa wao wakina nani?? huo ni ushamba ,, wa america ndiyo wanavyo vaa na wao wapo america,,inaonekana watu wengine zikiwatembelea za madafu basi hizo pamba kama Michael Jackson,,huo ni ushamba , lazima uvae na uwe comfotable kwenye mavazi..jifunze na uangalie mtu anayoyafanya siyo nguo anazovaa ila inategemea yupo wapi na anafanya nini.
Jamani waacheni kama walivyo wamekuja ku-enjoy hiyo habari ya wamevaa nini is your none business mmezidi sana kutoa watu kasoro,waacheni wavae wanavyotaka hii ni summer ni marekani pelekeni uko uswahili wenu,wameenda kuwatembelea watu ambao wako ofisini na wamevaa kiofisi,kwa wao ni leisure time!! achene tabia mbaya,mmekosa cha kuandika nyamazeni kimya.
Hakuna tatizo lolote katika mavazi yao, madau wakwanza na wapili mavazi yao ni sambamba na wakati na Hali ya hewa na isitoshe nichaguo la mvaaji na comfort yake. Shilole na Masanja you look Great, enjoy your
stay and have fun this is America!!
PICHA SISI HAZITUSAIDII KITU. NATAKA KUONA INTERVIEW ZAO. MAVAZI SIO AKILI! WAVAE CHOCHOTE WANACHOTAKA, MAENDELEO YA KUIGA SIO MAVAZI JAMANI.
They just fine,freedom of expression is all that matters,let em enjoy
Akili mavi wanachoona ni mavazi tu. Kazi kukosoa tu. Mgekuwa mnaakili Tanzania isingekuwa maskini kiasi hichi. Tatizo nini sasa? Sioni tatizo lolote na mavazi yao kwanza wamependeza.
ain't nothing wrong people its summer time and they can dress the way they want
DJ luke tafadhali jaribu kuangalia comment nyingine hao watu wanaosema shilole na masanja wamevaa nguo amabzo hawatakiwi kuvaaa tafadhali hawakuja kukuonyesha wewe nguo gani wavae sawa wapo kikazi na wameshalipwa hela zao sasa tafadhali waaacheni wabongo ndio maana hamuendelei shilole na masasnja kamueni hiyo tarehe 6 achaneni na hao wanafiki
Haipendezi kuwaponda wenzako, mtu huvaa au kufanya sawa na amani ya moyo wake. We unayesema si tamaduni za kwenu mbona u mzinzi wewe?Je tamaduni za kwenu zinaruhusu matendo maovu?Au kwa sababu uchafu wako unaufanyia gizani hauonekani kama mavazi/pochi za masanja na shilole? Usikitoe kibanzi katika jicho la mwenzako wakati lako lina boriti, hata nafsi yako inakusuta.
Post a Comment