Thursday, July 18, 2013

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Aung'uruma Songea

Sehemu ya Mamia ya wanafuasi wa chadema wakimshangilia mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai freeman mbowe alipokua akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya stendi ya malori iliyopo katika eneo la Majengo mjini Songea jana
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiwahutubia Mamia ya wafuasi wa Chaemakwenye viwanja vya stendi ya malori iliyopo katika eneo la Majengo mjini Songea Jana.Picha na John Mrema-Chadema

2 comments:

Anonymous said...

what a waste of their time! do we really need these CCM, CUF and Chadema gatherings?

Anonymous said...

WHAT? ACHA UTANI. CHADEMA INAPOTEZA MUDA KUSINI KWANI CCM RULES IN THE SOUTH. BWANA MBOWE ANAJARIBU KUWADANGANYA WANANCHI WA KUSINI. SORRY, TUNAJUA MIZIZI YA CHADEMA NI KILIMANJARO NA ARUSHA. CCM HOYEEE..OYEEEE. RUVUMA, LINDI, MTWARA, MBEYA, RUKWA NA IRINGA NI ZONI ZA CCM DAIMA. DEMOGRAPHICALLY, MIKOA INAYOLISHA NCHI NDIYO INAYOLISHA CCM, NO OFFENSE TO CHADEMA!