Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mkewe Sitti Mwinyi wakiwa ndio wameingia kutokea uwanja wa ndege wa kiamataifa Dulles maalum kwa ajili ya Tamasha la Utamaduni wa Kiswahili litakalofanyiak kesho Jumamosi July 6, 2013 Capitol Heights, Maryland.
Juu na chini ni Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mkewe wakiongea na Kaimu Balozi Mama Lily Munanka (kushoto) Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Bwn. Baraka Daudi(kulia)
Kushoto Rais wa Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly, Kaimu Balozi Mama Lily Munanka wakibadilishana mawili matatu na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi (hayupo picha) mara tu alipowasili Washington, DC.
Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi Baraka Daudi akimhabarisha kwa ufupi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi Tamasha la utamaduni wa Kiswahili litakavyokwenda.
Sophia na watoto wake wakipata picha ya pamoja na Rais Mstaafu na mkewe.
Masanja Mkandamizaji katika picha ya pamoja na Rais mstaafu na mkewe Sitti Mwinyi
Shilole katika picha ya pamoja na Rais mstaafu na mkewe Sitti Mwinyi.
Asha Nyang'anyi katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu na mkewe Sitti Mwinyi.
Julius Katanga mjumbe wa kamati katika picha ya pamoja na Rais mstaafu na mkewe Sitti Mwinyi.
kwa picha zaidi bofya read more.
No comments:
Post a Comment