ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 5, 2013

Dkt Shein akutana na Mabalozi Wapya wa Tanzania Ikulu!

Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanziba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais Ikulu Zanzibar leo,na kufanya mazungumzo na Rais Shein.
Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamja na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.)

No comments: