Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.Picha zote na Lorietha Laurence-MAELEZO
2 comments:
sielewi vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya taifa manake nini???? nisaidieni tafadhali
Hapo ni mlo kwa watu hamna jipya mikopo kila siku maendeleo zero
Post a Comment