Thursday, July 18, 2013

VODACOM TANZANIA YAZINDUA “READYSET CHARGE” … CHARGER YA SIMU INAYOTUMIA MIONZI YA JUA

Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati … Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao …

Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …

No comments: