“Majangaa mbona majangaaa … “ ni moja ya vibwagizo vilivyokaa sana midomoni mwa wapenda muziki na burudani kwa ujumla … ni ngoma ya mwanadada SNURA (Mcheza filamu/mwanamuziki)… sasa mpya kuhusiana na Snura na ngoma yake ya Majanga ni kuwa imekuwa maarufu sana na imefanikisha kumpatia mkataba wa kucheza movie kubwa nchini South Africa …
Filamu hiyo itakayofahamika kama TANDEKA, imeigizwa nchini AFRIKA YA KUSINI huku SNURAakicheza kama muhusika mkuu (Main Character) na itahusisha zaidi ya lugha moja kutoka Africaikiwemo Kiswahili, Kizulu, Kiingereza na nyinginezo … Wasaili wa movie hiyo walimuona na kumu-approach kwa ajili ya kufanya nae kazi
No comments:
Post a Comment