For a longtime, nimekuwa najaribu kutafuta shortcut and a figure out a way ya kutoka kimaisha! Sio kutoka hela ya mboga, kutoka kutoka kweli! Sasa nimejikuta nastudy sana watu na circumstances. Nimetokea ku review sanaa watu waliotoka (Ukijua mwenzio ametoka vipi you are half way) walipitia njia zipi? What was there turning point? Na vitu kama hivo.
Katika study yangu nimegundua watu wengi WALIO MAKE THINGS HAPPEN WANA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA BOX (Wengine hawakurudi na vyeti so tuna assume hivi) ZA UNYAMWEZINI AMA SHULE YA MBELE HUKO AU HATA KUBANA TU KWA NDUGU ZAO UGHAIBUNI KWA MDA FLANI!
Sio siri wakirudi baadhi yao wanakuwa Exposed kwenye mambo mengi sanaa, Ability yao ya kupata logic kwenye vitu inakuwa juu! Na problem solving capacity yao inakuwa ASTONISHING! Yaani mtu anafanya vitu hadi unabakia . Kikubwa wanakuwa na UTHUBUTU WA HALI YA JUU SANAA!!!!!! Wanashika pesa wadogo sanaaa! Hata mkiajiriwa nae huwezi ku compete nae kwenye creativty
Wachache maarufu ambao wanatengeneza mpunga mrefu mnooo ambao hata uajiriwe wapi huipatai maisha yako (with the exception of UN, IMF and WORLD BANK) ni
1. Joseph Kusaga, aliishigi U.S, L.A alivorudi ndo clouds wakaisuka! Saivi wako na bizz nyingi sanaa. Primetime tu akimdondosha mwanamziki mmoja PESA YAKE NI NDEFUUU hata asipofanya kazi mwaka mzima!
2. Ruge Mutahaba, nae clouds.
3. Emelda Mwamanga aliishi hapo Bondeni, S.A, Bang na dare to dream ni nomaaa.
4. Kelvin Twisa, poteza mbaya 1st class za UDSM na Mzumbe
6. Amina Marcel Plumer, Amina designs
5.Frank Gonga (Ile hela anayopata ya white party japo ni once/yr ni ndefuuu afu haina jasho)
6.Rita Paulsen, event moja ya BSS hafanyi kazi mwaka mzima, jinsi inavomlipa!
7. Wema Sepetu aliishi U.S (Reality show yake za chini ya kapeti zinasema kalamba mkwanja nomaaa toka kwa kampuni flani hivi.)
8.Ongezea wewe
Hapa nimetaja wale wa KAWAIDA HAWANA MIJICHETI YA KUTISHA YA PHD ila wana make a difference kwenye sekta walizopo na wameweza kujibrand. Wame make things happen big time kwa ujanja ujanja tu wa mjini.
I aint saying vya nyumbani ni vibaya ama havina viwango noooooooo! But hawa wenzetu wamethubutu na wameweza na wamejitajirisha si kidogo ilihali sisi wa hapa hapa tunawaangalia! Nyumbani bana unaweza kuta mtu ana PHD analipwa 3m karizikaaaa beyond kurizikaaa! Ila hawa wababa box somehow naowajua mimi THEY ALWAYS LOOK AT THE BIGGER PICTURE!!!!!!! Na hawariziki ng'oooooooo kama Joe! @ team Anaconda!!! But its good to be a CAPITALIST at imperial times like these.
Huo ni mtazamo wangu juu ya mambo mjini hapa! Sijui nyie mwaonaje!
Source:Jamii forums
3 comments:
Ulichoandika sidhani kama kina ukweli sana ila ni mawazo yako...pia usahihi wa makala yako ni mdogo sana..ni mwaka gani huyo Kelvin Twissa alipata 1st class UDSM??do you know what 1st class is??unamjua huyu jamaa au ni stori za kijiweni zimekufanya uandike hiki...research braza kabla hujaandika kitu public.
j4
Ujerumani
ulichoandika sidhani kama kina ukweli mwingi kama jamaa hapo juu alivyosema fuatilia in deep wewe unaangalia juu juu tu.hao watu unaowataja maisha yao ya muonekano lakini most of them hamna kitu kuhusu maendeleo labda madame rita.
kwanza kabisa nakubaliana nao hao wa hapo juu kuwa sio wote wanao ishi nje ya tanzania ni wabeba maboksi si kweli.ok pili hao unaowaita wabeba boksi hujui kwamba wameingia mkataba na kampuni kwa makubaliano ya kufanya service za usafirisha vifurushi(delivery and pick up)kwa kutumianusafiri wako binafsi(your own vehicle)kama vile truck,vans,pikipik pia na baiskeli.hivi vyote kabla huja ingia mikataba yao lazima uwahakikishie unavyo wanavyo vihitaji,sasa unaposema wabeba boksi kwa dharau na kujifanya unajua watu wanafanikiwa vipi ur are very wrong hawa watu wanamiliki biashara zao na matruck na vans sio kama hiyo picha yako ya juu hapo inaonyesha kabisa hawa watu wapo kwenye nyumba na empty house wanahama au wanahamia.tatu watu uliowataja sio wote walikaa u.s sio wate kati ya hao walikuja kwa matembizi tu na wengine hawakuishi walikuwa masomoni.kama huyo wema hakuishi alikuwa kwa muda mfupi sana hapa u.s .fanya uchunguzi wako kwa makini kabla huja weka hapa.
Post a Comment