ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 6, 2013

ONA ALICHOKIFANYA DIAMOND SOUTH AFRICA JUU YA UJIO WA VIDEO YAKE MPYA

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.

Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)

1 comment:

Anonymous said...

jamani hawa si ndo kio cha jamii sasa misifa misifa hii ya nini au ndo kutangaza biashara na sikweli kwamba wanaimba nyimbo au wana act na kupata utajiri huu kuna biashara wanaifanya na ma deal wanayafanya na watu wanawatumia kunufaika na yako wasituyayushe mlala hoi mtanzania mwenzangu kaza buti soma au lima upate riski yako watu hawa ukiwafuatila sana utakufa ukijiona wao wanabebwa na mapadajee na wakuu wa nchi si siri

wasituyayushe hapa na mademu ndo wana fungika kiyama wakiwaona wanadhani wasafi kweli kumbe wachafu ile mbaya ogopa usiwe karibu nao na kuwafuatilia nyendo zao utakufa bro/sister duu huku unajiona shauri zenu

je ulizeni hivi kweli kuimba na ku act movies ndo kunapaisha mtu namna hii na migari ya fahari kwa ipi tanzania hii yetu pesa za madafu wacheni nyinyi kuwazuga zunga young kids na wenye tamaa za mbwa kukalia mkia