ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 5, 2013

JOYCE KIRIA "NIMEAMUA KUUNGANA NA MUME WANGU KWENYE SIASA BAADA YA KUACHIWA HURU"

Joyce akiwa amevaa gwanda za Chadema

"Mlionishauri kwamba Mume wangu Henry akitoka nimshauri aache siasa, naomba niwaambie kwamba nimem join Mume wangu kwenye Siasa.

No comments: