ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 6, 2013

LULU, MAMA KANUMBA NA LINAH NDANI YA FILAMU YA MAPENZI YA MUNGU(PHOTOS).


Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu inayoitwa Mapenzi ya Mungu. Katika filamu hiyo waigizaji wengine ni Linah Sanga ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali. Angalia baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo
Lulu na Linah

Mama Kanumba, Sudi Ali na Lulu wakiwa location
 
photos credit: Ismail Sal Feisal

1 comment:

Anonymous said...

Linah ana shape nzuri ila kwa bahati mbaya mungu alimnyima sura . kwa maana hiyo kipara hakimpendezi