ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 5, 2013

MUME WA JOYCE KIRIA AACHIWA HURU


Mahakama kuu kanda ya Tabora imewafutia kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili makamanda wa tano wa Chadema akiwemo katibu wa mkoa wa kinondoni kamanda Henry Kilewo uamuzi huo umetolewa muda mfupi uliopita. 

No comments: