ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 5, 2013

ANGALIA SHOW YA RANDOM5 TOLEO LA KWANZA !


RANDOM5 NI SHOW AMBAYO IMEANDALIWA NA MTANZANIA  AKISHIRIKIANA NA MKENYA  KUTOKA MJI WA HOUSTON-TEXAS. SHOW HII ITAKUWA INA RUSHWA KILA SIKU JUMATANO YA WIKI. KARIBUNI !!!!


VIDEO HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA HEFEMISTUDIO. WASILIANO NAO KUPITIA SIMU  # +1 (832) 543-3364 ; EMAIL INFO@HEFEMISTUIOS.COM or ITSRANDOM5@GMAIL.COM 

TWITTER/ITSRANDOM5
FACEBOOK/ITSRANDOM5
INSTAGRAM/ITSRANDOM5

1 comment:

Anonymous said...

Bwana Luke, naona unataka kutuhadhiri na maswali yako ya haraka haraka. Anyway it's fun na new test of talk show kwenye vijimambo. Hongera mkuu