Mwalimu wa Gofu kwa watoto wadogo klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam Bw. Claude Nkawamba akimfundisha Vanessa Nkurlu (7) mchezo huo, mwalimu huyo alitoa wito kwa wazazi Wakitanzania kuwapeleka watoto wao kujifunza mchezo huo jana.
Mtoto mwanafunzi wa Gofu Vanessa Nkurlu (7) akiangalia mpira aliyeupiga ukielekea katika shimo la pili katika uwanja wa klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam, jana.
No comments:
Post a Comment