Karibu katika sehemu mbili za mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa yaliyofanyika Septemba 22, 2013 hapa Washington DC
Katibu Mkuu wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzanzia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Willbrod Slaa akihojiwa na mwanaharakati wa changamoto yetu Mubelwa Bandio
Kati ya aliyozungumza ni pamoja na
1: Hali ya kisiasa nchini Tanzania hivi sasa
2: Nini walichomaanisha waliposema "nchi haitatawalika"?
3: Ni kweli kuwa CHADEMA inaamini kuwa Tanzania hakuna amani?
4: Kuna namna ambavyo tunaweza kutenganisha "siasa na maamuzi ya serikali"?
5: Anaonaje tofauti ya UTENDAJI WA BUNGE baina ya kipindi alichokuwepo yeye na hili la sasa?
6: Vurugu zinazotokea bungeni.....Kwanini?
7: Harakati za kuungana na wapinzani wengine kupinga mchakato wa katiba..."hamjifuniki wakati kumekucha?"
8: Maswali ya wasikilizaji na wasomaji wetu
9: Kwanini CHADEMA inahusishwa na vurugu katika mikutano yake?
10: Kwanini hawajatoa mkanda wa mauaji ya Arusha waliosema wanao?
11: Kwanini hawawajibishi baadhi ya wabunge ama wanachama wanaoonekana kuasi chama?
12: Maendeleo Tanzania. Yanapangwa kulenga maendeleo mjini?
yanagawa umaskini kuwa wa mjini na vivjijini?
Na mengine mengi
KARIBU UUNGANE NASI
3 comments:
I have respect na interviewer lakini I think on this particular interview you failed.
Umeshindwa kupinpoint maswali muhimu sana. For example unaposema kwamba kila bunge watu wanatwangana jee umeona ngumi kwenye US Senate Floor, Jee umeona Ngumi kwenye bunge la UK?
Ulikuwa na chance ya kuuliza maswali ya kuongeza.
I am sorry but this was very disappointment kuna maswali mengi sana ulitakiwa kuuliza but you act kama waandishi wa ITV.
What are the factual baseline ametumia kwamba watu wengi hawaongei na simu? Jee usage of internet? How does that boost economy?
Anaposema only 3% ya watu ndio wanamiliki magorofa yote what is the base line he used for that?
I am very disappointed with this interview.
Asanteni kwa maoni yenu.
Yatafanyiwa kazi na naamini mahojiano yajayo yatakuwa na kile mlichoongeza katika FIKRA za kuhiji.
Pia mwaweza kutembelea ukurasa wa Youtube kutazama na kutoa maoni zaidi.
Baraka kwenu
Post a Comment