HONGERA WAJAMENI MAZUNGUMZO YENU NIMEYAFUATILIA KWA KINA SASA! LAKINI HIYO DHARAU YA KUSEMA WABUNGE WENGINE HATAKUTOKAHAWAJAWAHI TOKA HATA HAPO NAIROBI HAWAJAFIKA HIO SIO ISSUE, ISSUE NI URAIA WA NCHI MBILI MIMI MWENYEWE NI MKAZI WA HAPA SWEDEN,SCANDINAVIA NA WENGI WAMEKWISHA TOA OMBI HILO LA DUO NATIONALITY, LAKINI HAINA MANTIK MIMI SIWEZI KUWA BINADAMU MWENYE NCHI MBILI LAZIMA TUFUATE SHERIA. HAPA SWEDEN KAMA UNATAKA KUWA RAIA WA HAPA UNALETA AFFIDAVITY KWA MAANDISHI KUTOKA UBALOZINI KUWA UMEUKANAURAIA WATANZANIA UNAKUWA MSWEDE. SASA INAKUWAJE GHAFLA TU UNAKURUPUKA ETI UWE NA URAIA WA NCHI MBILI? UMCHAGUE RAIS SWEDEN HALAFU UKAMCHAGUE TENA RAIUS TANZANIA HIO WANDUGU NAONA KANA KWAMBA OMBI LIMEPIGWA CHINI WALA HAIWEZEKANI. LAZIMA TUJUE UMUHIMU WA KUWA NA URAIA UWILI KWANZA KABLA HATUJAAANZA KULALAMIKA- WABUNGE WETU WAMESOMA VILEVILE KAMA WENGINE WALIOKO MAREKANI. KWANI KILA NCHI INA SHERIA SIO TU KUCHUKULIWA JUU KWA JUU KAMA KUMZIKA KADIANI HAPANA.
KAMA WEWE UNA MOYO NA NCHI YAKO YA ZAMANI HUKATAZWI KWENDA WALA KUWEKEZA , KWANI KIKWAZO KIKO WAPI? FUATENI SHERIA KAMA MLIVYOKUJA HUKO MAREKANI MPAKA MKAPATA URAIA, NA MAMBO YATANYOOKA TU! KAMA UNA CHAKUWEKEZA INGIA UBIA NA NDUGU YAKO AMBAYE NDIYE MTU WA KARIBU FATIENI SHERIA KWA WANASHERIA ,UJUE UTALIPA KODI VIPI NA WORKING PERMIT UTAIPATA VIPI.
KWANI MKIWA NA INCOME MTAIJULISHA SEREKALI YA MAREKANI UNAINGIZA KIASI GANI TANZANIA ILI ULIPE KODI? AU ITAKUWA TU KANJANJA. ANGALIENI HILO SIO SWALALA KUAMUA TU KAMA MAONGEZI YA BAR. UNAKARIBIHWA BONGO LAKINI IKIFIKIA MASUALA YA SHERIA HAPO INAKUWA ISSUE NYINGINE KWANI WEWE MWENYEWE ULIUKANA UTANZANIA SASA HIVI VIPI UNATAKA TENA? KAMA UNATAKA TENA UITANZANIA RUDISHENI HIZO PASI ZA MAREKANI HALAFU MUOMBE TENA UTANZANIA HAIWEZEKANI WEWE UWE HUKU NA KUKU
ASANTE SANA MDAU HAPO JUU KWA MAONI YAKO MAZURI. TATIZO HAPA NI UPANA WA KUYAJUA MAMBO. NI HIVI UKISHAAMUA KUUKANA URAIA WAKO HUTAKIWI KUWA MTU WA KUTAMANI TAMANI HOVYO BILA KUFUATA SHERIA. KAMA KWELI UMESHA BADILI URAIA NA UNATAKA KUWEKEZA TZ, FUATA SHERIA ZA UWEKEZAJI NA ULIPAJI WA KODI KOTE KOTE.
NA KUHUSU UZAMIAJI WA WATUMISHI WA UMMA WA WATANZANIA NI GUMU HILO. LAKINI NJIA PEKEE YA TZ NI KUINGIA UBIA NA USA KWAMBA IJENGE VYUO VYAKE HAPA TZ ILI KUSIWEPO WATU KWENDA NJE KISERIKALI. WENZETU MISRI NA WENGINE WAMEFANYA HIVYO. VISIWA VYA TRINIDAD, NK NI HIVYO HIVYO.
HAWA USA WAKO SMATI SANA UKITAKA WAJENGE VYUO VIKUU KWA UBORA WA KWAO NA MASOMO VILE VILE INAWEZEKANA. TUTAONDOSHA TATIZO LA KUVUJA KWA GUNIA LA ELIMU YA NJE.
2 comments:
HONGERA WAJAMENI MAZUNGUMZO YENU NIMEYAFUATILIA KWA KINA SASA! LAKINI HIYO DHARAU YA KUSEMA WABUNGE WENGINE HATAKUTOKAHAWAJAWAHI TOKA HATA HAPO NAIROBI HAWAJAFIKA HIO SIO ISSUE, ISSUE NI URAIA WA NCHI MBILI MIMI MWENYEWE NI MKAZI WA HAPA SWEDEN,SCANDINAVIA NA WENGI WAMEKWISHA TOA OMBI HILO LA DUO NATIONALITY, LAKINI HAINA MANTIK MIMI SIWEZI KUWA BINADAMU MWENYE NCHI MBILI LAZIMA TUFUATE SHERIA. HAPA SWEDEN KAMA UNATAKA KUWA RAIA WA HAPA UNALETA AFFIDAVITY KWA MAANDISHI KUTOKA UBALOZINI KUWA UMEUKANAURAIA WATANZANIA UNAKUWA MSWEDE. SASA INAKUWAJE GHAFLA TU UNAKURUPUKA ETI UWE NA URAIA WA NCHI MBILI? UMCHAGUE RAIS SWEDEN HALAFU UKAMCHAGUE TENA RAIUS TANZANIA HIO WANDUGU NAONA KANA KWAMBA OMBI LIMEPIGWA CHINI WALA HAIWEZEKANI. LAZIMA TUJUE UMUHIMU WA KUWA NA URAIA UWILI KWANZA KABLA HATUJAAANZA KULALAMIKA- WABUNGE WETU WAMESOMA VILEVILE KAMA WENGINE WALIOKO MAREKANI. KWANI KILA NCHI INA SHERIA SIO TU KUCHUKULIWA JUU KWA JUU KAMA KUMZIKA KADIANI HAPANA.
KAMA WEWE UNA MOYO NA NCHI YAKO YA ZAMANI HUKATAZWI KWENDA WALA KUWEKEZA , KWANI KIKWAZO KIKO WAPI? FUATENI SHERIA KAMA MLIVYOKUJA HUKO MAREKANI MPAKA MKAPATA URAIA, NA MAMBO YATANYOOKA TU! KAMA UNA CHAKUWEKEZA INGIA UBIA NA NDUGU YAKO AMBAYE NDIYE MTU WA KARIBU FATIENI SHERIA KWA WANASHERIA ,UJUE UTALIPA KODI VIPI NA WORKING PERMIT UTAIPATA VIPI.
KWANI MKIWA NA INCOME MTAIJULISHA SEREKALI YA MAREKANI UNAINGIZA KIASI GANI TANZANIA ILI ULIPE KODI? AU ITAKUWA TU KANJANJA.
ANGALIENI HILO SIO SWALALA KUAMUA TU KAMA MAONGEZI YA BAR. UNAKARIBIHWA BONGO LAKINI IKIFIKIA MASUALA YA SHERIA HAPO INAKUWA ISSUE NYINGINE KWANI WEWE MWENYEWE ULIUKANA UTANZANIA SASA HIVI VIPI UNATAKA TENA? KAMA UNATAKA TENA UITANZANIA RUDISHENI HIZO PASI ZA MAREKANI HALAFU MUOMBE TENA UTANZANIA HAIWEZEKANI WEWE UWE HUKU NA KUKU

Post a Comment