Uungwana kuelimishana na kuwa katika ukurasa mmoja ni kitu muhimu sana.
Mimi na Chombo cha Habari Jamii Production hatuna tatizo tumesha elimishana
na tunasonga mbele. Toka hapo mwanzo tupo pamoja na Jamii Production na tuatendelea kuwa nao. Ujumbe kwa Ubalozi umefika na ninatarajia mabadiliko kitu ambacho ni muhimu katika jamii yetu.
4 comments:
Ujifunze jinsi ya kutoa kauli kwenye vyombo vya umma na uelewe nini maana ya itikadi za diplomasia zinavyotumika. Si busara kuropoka bila kufikiria kilichotendeka kimeanzia wapi, kwa lengo la kutaka maslahi yako mwenyewe>.
ante sana kijana Alex kwa kuyamaliza. Mfumo wa kimataifa ni huuuuuuuuuu hapa, ubalozi wajenge tabia ya kuifikia jamii ya Watz kwa kuongea na vyombo vyote vya habari. Tena nanyi vyombo acheni kujipendekeza na kujipenyeza binafsi bila kuwaita wanahabari wenzio.
Kwenda shule wewe ukajifunze communication skills.
Kuna wanahabari na sio vipenyeza habari, Unategemea Alex aeleze nini copy tu. Kwani yeye ndio wa kwanza kufanya habari hapa na ubalozi! Ni bora kujifun,a na kufanya taratibu zitakiwazi. Si unaweza kuona anasema ujumbe umefika tunasonga mbele hiyo ndio adabu au dharau. Hiyo ni tabia ya kujikwaza na kujionyesh Fanya kazi kwa utaratibu la sivyo tutakuogopa.
Post a Comment