katikati ya kitendo mtu akaanza mazungumzo ya kodi ya nyumba. Inawezekana akaanzisha maneno ya kusutana. Mfano, kipindi shughuli inaendelea mtu anasema: “Kesho kuna wageni watakuja nyumbani, sijui tutawaandalia nini na pesa hatuna?” Tafadhali sana, mazungumzo hayo hayakubaliki.
Kwanza yanaboa katika kipengele hicho na kwa yule ambaye ameshazama kabisa dimbwini halafu unamletea simulizi hizo zitamkata stimu. Kwa maana hiyo, ieleweke hasa nini ambacho namaanisha ninaposema uwe unajadiliana na mwenzi wako mkiwa faragha.
Tukirejea kwenye kipengele chetu kuhusu kumpa mwanamke mitindo na uzoefu tofauti wa kitandani, nako nifafanue kuwa unaweza kubadili mitindo mingi, yaani kila baada ya muda mfupi ukawa na mwingine lakini usimvutie, sanasana ukazidi kumboa.
Ni kweli una spidi nzuri, afya yako ni timamu kabisa na unaweza wa kuvumilia hata saa nzima bila kufika mshindo. Hata hivyo, kipawa chako kitakuwa hakina maana yoyote, kama hutampa mwenzi wako uzoefu mpya kupitia mitindo anuwai nyakati mnapokuwa faragha.
Wanawake hudatishwa kihisia, kwa hiyo mapenzi yao kwa wanaume huongezeka mara dufu pale wanapopatiwa kwenye muktadha huo. Hii ikupe muongozo mahsusi kwamba chochote unachokifanya faragha, hakikisha mwenzi wako ‘anacharazika’ hasa kihisia.
Mwanamke huhitaji mwanaume anayebembeleza, anayezungumza hivyo kumpa mrejesho wa kihisia. Unakuta mtu kuanzia mwanzo mpaka mwisho yeye amekauka tu. Akimaliza anajiweka kando, eti ndiyo amefika ukingoni. Hakuna kupongezana wala kupeana asante.
Zingatia ukweli kwamba mwanamke hawezi kutosheka kwa asilimia 100 kama huzungumzi naye katikati ya shughuli. Lazima uwe mjuzi wa kuongea maneno ambayo yatampa wehu fulani ambao utamuondoa kwenye ulimwengu mmoja hadi mwingine, hivyo kufurahia kitendo hasa.
Jitume sasa na uhakikishe unampa uzoefu tofauti. Onesha jinsi ulivyo mtulivu katika kitendo. Fuata taratibu zote ambazo zitaamsha hisia zake, mwoneshe jinsi ulivyo mwanaume tofauti katika kipengele cha faragha. Mwanamke ‘huinjoi’ zaidi anapokuwa anabadilishana hisia za ndani kabisa na mwanaume kitandani.
ZINGATIA HAPA
Wanaume huwapenda vijana wa mjini ambao wengi wao huwa hawana mbele wala nyuma kwa sababu ya hisia ambazo huzichochea ndani yao. Kijana anapokuwa na mwanamke chumbani, anatumia ujanja na hila zote mpaka mtoto wa kike anajiona yupo peponi.
Maneno matamu na utundu wa hapa na pale humchangamsha mwanamke, kwa hiyo anakuwa kwenye kiwango cha juu kabisa cha upendo. Hapo hata safari ya kukitafuta kilele huwa nyepesi. Busara za faragha hazitaki ukimya, ubishi, ujeuri, mapozi, sauti kavu na sura iliyojikunja.
Kunjua tabasamu, toa sauti laini ambayo inaweza kumfanya mtu mwenye hasira afurahi. Jiachie inavyopaswa kuwa. Mpongeze kwamba anakuhudumia vizuri, ukifanya hivyo unampa moyo na kuongeza madoido. Umeona tofauti nzuri, inayovutia katika maungo yake, usimbanie hizo pongezi.
Jiulize ni kwa nini wanawake wanaposaliti ndoa zao mara nyingi huangukia kwa vijana wa mjini? Ni kwa sababu hii tu kwamba wao ni lainilaini, kwa hiyo huwadekeza. Nawe huhitaji kujipa sifa ya u-kijana wa mjini, badala yake soma kile ambacho wanawake wanakikimbilia, nawe mfanyie mwenzi wako.
Itaendelea wiki ijayo.
GPL
No comments:
Post a Comment