Masanja Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika na madawa ya kulevya na kuhusu kushikiliwa kwa Passport yake na Serikali, MSIKILIZE
Hii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja Mkandamizaji inayomhusisha na madawa ya kulevya
8 comments:
Huyu jamaa vipi kuhojiwa na dj Luke kwa sababu anaishi marekani ni lazima atukane 'F' sizani watumishi wa Mungu na wachungaji wanaomtumikia Mungu huwa wanatukana 'F' na comedian mzuri anaemjua Mungu na ambae ameokoka huwa hatukani...mwanawane hapo umeteleza......me mdau wa state
Mchungaji gani anatumia PROFANITY akijua kuwa mahojiano yake yatasilizwa na watu??
Masanja amejikanyaga tuu, SUBIRA YAVUTA HERI !!!
Yote yatajulikana tuu.
Haaaa,,, makubwa haya yaani mchungaji hata ulimi hauogopi kutamka tusi kubwa hivyo? Hata watu wa kawaida sio wachungaji hawawezi kutamka neno hilo kwenye interview ,,, masanja muogope mungu unafanya tuamini labda kweli unauza madawa
nimependa sana interview hii na jamani kutukana kwani yeye si binadamu huo uchungaji si unakuja baaadaye, afadhali ya yeye katukana kuna wanaobaka je mnasemaje mbona hamuwazungumzi na kuna mapasta wana vimada mitaani na kila kona watoto nje ya ndoa mbona hamuyasemi hayo, kila mmoja atabebe mzigo wake, marekani ndo lugha hii ya F kama kunywa maji so msikomaliye jamaa bure.
big up man nimekukubali ile mbaya kwa kuwa mjashiri kufunuka na kutoa tete wanaokupakazia.
ja msingi mbona mawaziri wabunge na watoto wawakuu wa nji hawahojiwi wao ndo washiriki wakuu wa haya madawa ya kulevya unafikiri hatuwajui acheni nyinyi mkimuona mtu katoka kimaisha mnazonga zonga tafuteni na nyinyi mungu atakupeni msiwe na choyo cha roho mungu ni wa rehema na ni mkuu na ndo peke ndo mtoaji muobeni atakupeni acheni roho za korosho
big up dj luke kwa kutuwekea vitu maridhawa vitu poa vitu vinavyokonga nyoyo zetu tunapoingia katika mtandao wako ubarikiwe daima mkuu
yule yule NY
Dah naona kwenye huo uchungaji ndio ameingia tu. Amesahau kabisa anatumia F word. Jamani what happened??? Yamtokayo mtu mdomoni ndio yaliyoko moyoni. Masanja kaka yangu muombe Mungu akupe hekima zaidi ya hapo siwezi kusema.
Good job mchungaji Masanja. Watusi bardo wamelala hawaamini Kilimanjaro kinaweza kukutoa hivyo. Msiwafuatilie hawa wasanii wanajitafutia riziki kihalali. Majina ya wabunge, wafanyabiashara, mawaziri yaks wapi.
Asante Luke Joel, Kama mkandamizaji ni mchungaji wa keeling aache mane no yasiyo na maƱana.
Milioni tano kwa mwezi na biashara za mpunga na mambo mengine mjini. Mpigieni makofi tena sana, maana anaonyesha kuwa Tanzania unaweza ukawa na misheni zako ukaingiza hata dala $20,000 kwa mwezi. Hamna ulazima kuwa mkimbizi. Mtu unaweza kupambana nchini kwenu na ukawa na maisha bora pia. Nyumba tumeona ni kasehemu ka kujibanza. Je Akijenga ghorofa ya ukweli na mansion ya ukweli si itakuwa zogo?
Asante kwa kujibu vizuri na kwa swaga ya nguvu na kukiri bado mlokole. Mi sioni tatizo alivyotumia f word maana nimechambua zaidi ujumbe wote badala ya kukimbilia hicho kivumishi. Ukiangalia fasihi na mazingira aliyotumia f word hajatukana mtu wala kitu. Inataia hasira kuchafuliwa jina. Ni sawa akiwaomba radhi watu lakini sio big deal kabisa, tuache uzushi na sisi watoa maoni. Simfagilii masanja wala nini ila si vema na haki kumshutumu kwa f word, ndani ya interview. Hiyo ndio mood aliyokuwa nayo & it should not cause confusion. Yeye si malaika ni mjasiriamali machinga mwenye kutumia akili. Kama anauza au hauzi madawa kishasema hauzi na kama evidence zipo basi zileteni.
Post a Comment