Mhe. Mwingulu Nchemba (Kulia) akiwa amesimama na Mwenyekit wa CCM Tawi la California Josephine M. (kushoto) kabla ya kuwasili kwa Mhe. Raisi Jakaya Kikwete katika jiji la San Francisco - California. Mhe. Nchemba alizindua tawi la california siku ya jumamosi Sept 14 katika mji wa Oakland
Viongozi wa tawi la CCM California, Mwenyekiti Josephine M. (kushoto) na Katibu wake Erick B (kulia) wakiwa tayari katika mapokezi ya Mhe. Raisi Jakaya Mrisho Kikwete katika jiji la San Francisco - California siku ya jumatatu Sept 16.