Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa 'celebrating humanitarian champions and partnerships in Africa' ulioshirikisha viongozi wa juu wa bara hilo. Mkutano huo ulifanyika huko New York nchini Marekani, jana. Kulia kwa Mama Salma ni Bwana Bekele Geleta, Katibu Mkuu wa International Federation of the Red Cross na kushoto kwake ni Mheshimiwa Aisha Abdullahi, Kamishna wa Masuala ya Siasa wa Kamisheni ua Afrika akifuatiwa na Mheshimiwa Valerie Amos, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya huduma za kibinadamu na dharura-Humanitarian Affairs and Emergency Relief.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa viongozi wa juu wa Afrika ulioratibiwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika New York.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa viongozi wa juu wa Afrika ulioratibiwa na Umoja wa Mataifa na kufanyika New York.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na washiriki mbalimbali waliohudhuria mkutano wa kusherehekea humanitarian partnership in Africa.
No comments:
Post a Comment