ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 3, 2013

MWANAMKE KICHECHE AMEZA SIMU BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI

mwanamke wa miaka 19 kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha boyfriend wake asisome meseji iliyokuwa kwenye simu yake kiasi kwamba alipomwambia Chanzo cha Spanish website Yipeta.com kinasema, anaomba asome alikimbia.
Na alipofika mbali alifanya 'the unthinkable' akaimeza simu yake. Anatakiwa afanyiwe oparesheni ili simu hiyo itolewe

No comments: