Ukaribu wa mtoto wa kike na mama unajenga misingi bora kwa mtoto wa kike na mama yake. Mtoto ujisikia amani na furaha moyoni kwa kuona mama ndiyo nguzo imara katika kuijenga familia bora ndani ya nyumba. Na baba ndiyo muhimiri mkuu wa misingi hiyo, mfanye mtoto wako ajisikie wewe ni rafiki zaidi ya mama.
Credit for T.E.S Photo
1 comment:
Picha ya nini???????
Post a Comment