Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban- Ki- Moon .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban- Ki- Moon ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuhutubia kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana Ijumaa Sept 27, 2013 mchana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kikao cha 68 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa jana Ijumaa Sept 27, 2013 jijini New York Marekani(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment