ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 17, 2013

SHULE YA SEKONDARI YA ILBORU YAFUNGWA NA SEREKALI


 Shule ya Sekondari Ilboru, imefungwa na serikali kufuatia tishio la kuchomwa moto. Hii inatokana na mgogoro wa wanafunzi na waalimu. Wanafunzi 4 wanahojiwa, 800 wamerudishwa nyumbani.

No comments: