Tamasha la 32 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Juu na chini ni Vikundi mmbalimbali vya sanaa vikitoa burudani kwenye tamasha la 32 la kimataifa la sanaa na utamaduni lililofanyika Bagamoyo na kuwavutia watu mbalimbali wakiwemo wa mataifa mengine.
Tamasha la 32 la kimataifa la sanaa na utamaduni lililojumuisha vikundi mbalimbali vya sanaa na utamaduni lilifanyika kwa mafanikio makubwa sana na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wa kimataifa wakiwemo wazawa.
No comments:
Post a Comment