Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongea jambo na Balozi Tunu Issa walipokutana Vallejo, Califonia. Vallejo ni mji dada na Bagamoyo Tanzania.
Mhe. Mwigulu Nchemba (wapitli toka kushoto) akiwa JW Marriott San Francisco, California kwa jaili ya kukutana na Rais Dkt Jakaya Kikwete.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania San Fransisco, California nchini Marekani kwenye hotel ya JW Marriott
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanachama wa TIGU kwenye hotel ya JW Marriott San Fransisco, California nchini Marekani.
Viongozi wa TIU na Jumuiya ya Watanzania North Calorina wakiwa San Francisco kwa ajili ya kukutana na Rais Dkt Jakaya Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa heshima Ahmed Issa (wapili toka kulia) pamoja na Nancy Assenga (kulia)ambaye ni muakilishi wa TIGU.
Kadari Singo DEO mpya wa TIGU akiongea wawekezaji na wafanyabiashara mbalimbali San Francisco, California , ndani ya ukumbi kulikua na watu wapatao 300 kutoka jumuiya mbalimbali za Kitanzania na Kimarekani.
Watatu toka kushoto ni Sherry Julian (mke wa Balozi wa heshima, Ahmed Issa) akiwa na marafiki zake katika picha ya pamoja na Rais Dkt Jakaya Kikwete

No comments:
Post a Comment