ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 29, 2013

African Women Ambassadors bid Farewell to H.E. Fatima Da Veiga of Cape Verde

  Balozi Mulamula akisalimiana na Mgeni Rasmi Balozi wa Cape Verde anayemaliza muda wake nchini Marekani Mhe. Fatima Da Veiga (Katikati) wakati wa hafla ndogo ya kumuaga iliyofanyika nyumbani kwa Balozi wa Botswana, Potomac Maryland Jumatatu Oktoba 28, 2013.
 Mabalozi wanawake wa nchi za Kiafrika waliofika kumuaga Balozi Fatima. Kutoka kushoto ni Mhe. Dkt. Tebelelo Mazile Seretse, Balozi wa Botswana;  Mhe. Amina Ali, Balozi wa Umoja wa Afrika; Mhe. Faida Mitifu, Balozi wa DRC; Balozi Jean Kamau, Charge D'Affaires Ubalozi wa Kenya; Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania, Mhe. Oliver Wonekha, Balozi wa Uganda na Emolemo Morake wa Ubalozi wa Botswana.
  Balozi Mulamula akimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya pamoja.
Balozi wa Rwanda akimkabidhi mgeni rasmi zawadi "peace basket" kutoka Rwanda ambayo alieleza wanawake wa Rwanda wamekuwa wakitumia peace basket kama nyenzo ya kutatua migogoro na kusameheana wakati wa mpango wa kujenga nchi yao na umoja wa kitaifa. 
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


1 comment:

Anonymous said...

Things are changing as a woman im proud to see that almost all east African countries ambassadors are women! Its really inspiring.