ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 26, 2013

BABY MADAHA KUZINDUA PAFYUM YAKE (CANDY N CANDY FRAGRANCE)

Msanii wa Bongo Fleva,Baby Madaha ambaye miezi michache iliyopita alikula mkataba mnono na cand & candy records alisema kwamba ameshazindua perfume zake jijini Nairobi na sasa anakuja kuzindua tena hapa TZ.
kama hiyo haitoshi pia Madaha aliongezea maneno haya kupitia ukurasa wake wa facebook 

No comments: