Msanii wa Bongo Fleva,Baby Madaha ambaye miezi michache iliyopita alikula mkataba mnono na cand & candy records alisema kwamba ameshazindua perfume zake jijini Nairobi na sasa anakuja kuzindua tena hapa TZ.

No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake