Saturday, October 26, 2013

FEZA,ONEIL MAPENZI MOTOMOTO

Washiriki wa shindano la BBA'The Chase'2013'Feza Kessy wa Bongo na mchumba wake Oneil wa Botswana wameonyesha kuwa kwa sasa uchumba wao umekomaa baada ya kuonekana wakiwa wamepiga picha mbalimbali wakiwa nchini Botswana.
Kupitia mtandao wa instagram Feza alipost picha mbalimbali akiwa nchini Botswana huku akiandika kuwa amepamis Bongo.…


2 comments:

  1. Shemeji amekata ile nanihiii au..!!??? Kweli njaa ni mbaya mnooooo na elimu ni muhimu sana tu...Pole yako Feza!!!

    ReplyDelete
  2. kwanza nampongeza Feza amevaa kiheshima na anawasilisha utanzania halisi.
    naona kama kanenepa fulani
    tunamtakia kila lililo jema katika mipango yake na maisha yao
    umeepeendeza sana

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake