Saturday, October 26, 2013

Wema Sepetu Atunukiwa Tuzo …

Muigizaji na Managing Director wa Endless Fame, Wema Sepetu siku ya jana (tarehe 25/10/2013) amefanikiwa kutunukiwa tuzo ya BEING THE BEST ACTRESS WHO HAS CARRIED A ROLE OF HELPING YOUTH ACTORS, ACTRESS AND THE SOCIETY AS WHOLE na Rahabu Medical katika ukumbi wa Ubungo Plaza…

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake