Akiwa ktk harakati za hapa na pale kutafuta vitu vyake binafsi kundi kubwa la wanafunzi lilikuja na kumvamia huku wakiomba sign ya msanii diamond na wengine wakitaka kupiganae picha.
Juu na chini Diamond akianguka kwenye shati la mrembo
Rais wa wasafi akiwa Mlimani City
Diamond katika picha ya pamoja na walimbwende wanafunzi alipokua Mlimani City.
Walimbwende wanafunzi hawaamini macho yao yule wanao muaona mbeleyao ndio Rais wa Wasafi.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake