Rais Wa Jumuiya ya Watanzania DMV Iddi Sandaly wa pili kulia pamoja na Muweka Hazina wa Jumuiya Genesa Malasy(Wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania DMV Amos Cherehani (wa kwanza toka kushoto) katika picha ya pamoja na Mwalimu wa School Without Walls ya Wshington DC, Edwrd Ismail (wa pili toka Kushoto) Na Mwanafunzi wa Schoool Without Walls katika picha ya pamoja siku ya Ijumaa Oct 25, 2013 siku Jumuiya ilopopata msaada wa vitabu toka shule hiyo, vitabu vitakavyopelekwa Tanzania chini ya mpango mpya wa Jumuiya ya Watanzania DMV na School Without Walls unaoitwa "BOOKS PUSH PROJECT". Vitabu vitasambazwa kwenye shule mbalimbali zikiwemo za msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu.
Uongozi unawajulisha watanzania wote kuwa watakuwa wakikusanya vitabu vya Sayansi vyote, Uhasibu, Biashara, Hisabati, English na Dictionaries pamoja na Vitabu vya watoto .
Kwa Maelezo zaidi tuma email: info@watanzaniadmv.org or http://www.watanzaniadmv.org/contact.asp
Ukusanyaji ni Kila siku ya Jumamosi 3:00PM- 5PM
3621 CAMPUS DRIVE, COLLEGE PARK, MARYLAND
Elias Mshana (Didi Vava) na Simba Sakapala , wa kwanza na pili kutoka kulia Watanzania wa DMV ambao walijitolea kwenda kuwasaidi Viongozi wa Jumuiya kwenye kukusanya vitabu hivyo.
kwa picha zaidi bofya soma saidi
No comments:
Post a Comment