Dj Joe Jonson Holela katika picha na Dj Richie Dillon enzi hizo za Vision 1900
Dj Richie Dillon kushoto akiwa na Dj Luke Joe kwenye mnuso Ocean Road nyumbani kwa Lukuba Chanji Enzi hizo.
Enzi za Ilala four ways Dj Richie Dillon akiwa na Baker,Super Star - Athumani Malapa, Sudi, Fundikira, Kibibi,Cornie Francis fikirini and Bob Yusuf.
Enzi za Continental disco la Valentino's kutoka kushoto ni Dj Luke Joe, Dj Mr A, Sabry Kube, Dj Richie Dillon, Tony, Abdul Shalamar na Mussa.
Enzi hizo tangazo la Clouds kiingilio kilikua 1,000 hii ilikuwa tarehe 24, July, 1992
2 comments:
Si mchezo, umenikumbusha mbali sana. Tunaomba utuwekee kumbukumbu kama hizi kila unapopata nafasi.
mnajua Dj cox yupo wapi?
Post a Comment